Kilele cha Mdahalo wa Kitaifa wa Mwitikio wa UKIMWI

Dodoma, Tanzania Tarehe 7 Septemba 2023, mdahalo wa kitaifa ulioandaliwa na Baraza la Taifa la Watu Wanaoishi na VVU Tanzania (NACOPHA) kwa ushirikiano na Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS) ulifanyika katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete Convention Center jijini Dodoma. Tukio hili liliratibiwa chini ya uratibu wa Ofisi ya Waziri Mkuu na lilikuwa […]
