Skip to content Rukia hadi maudhui
nacopha@nacopha.or.tz +255 745 111 242 Dar es Salaam, Tanzania Dar es Salaam, Tanzania

NACOPHA, the National Council of People Living with HIV/AIDS in Tanzania NACOPHA, Baraza la Taifa la Watu Wanaoishi na VVU Tanzania

NACOPHA leaders at a press conference, seated beneath the NACOPHA banner and the organisation's vision statement, speaking into television and radio microphones

Our voice shapes the response Sauti yetu inaunda mapambano

What members decide in their groups, NACOPHA carries to the press and to the table where national policy is set. Yale wanachama wanayoamua kwenye vikundi vyao, NACOPHA huyapeleka kwenye vyombo vya habari na mezani ambapo sera za taifa hupangwa.

About NACOPHA Kuhusu NACOPHA
31
RegionsMikoa
186
DistrictsWilaya
50,000+
MembersWanachama
25+
Years of serviceMiaka ya huduma
Who we areSisi ni nani

One national voice for people living with HIV Sauti moja ya kitaifa kwa watu wanaoishi na VVU

NACOPHA - the National Council of People Living with HIV/AIDS - is the umbrella body that organises and represents people living with HIV in Tanzania. We exist so that the people most affected by HIV are the people making the decisions about the response to it.

NACOPHA - Baraza la Taifa la Watu Wanaoishi na VVU - ni chombo mwavuli kinachowaunganisha na kuwawakilisha watu wanaoishi na VVU nchini Tanzania. Tupo ili wale wanaoathirika zaidi na VVU washiriki katika maamuzi ya mapambano dhidi yake.

  • Structures in every region, district and ward Miundo katika kila mkoa, wilaya na kata
  • A seat at the table on national HIV policy Nafasi kwenye meza ya sera za VVU za kitaifa
  • Peer support groups led by members themselves Vikundi vya wenzetu vinavyoongozwa na wanachama
More about NACOPHA Zaidi kuhusu NACOPHA
Members and leaders at the head table of a NACOPHA zonal meeting
What we doTunachofanya

Six areas of work Maeneo sita ya kazi

From the clinic queue to the national budget - our programmes follow members through every part of life with HIV. Kutoka foleni ya kliniki hadi bajeti ya taifa - programu zetu zinawafuata wanachama katika kila hatua ya maisha na VVU.

Advocacy & rightsUtetezi na haki

Carrying the priorities of people living with HIV into national policy, law and budget decisions.

Kupeleka vipaumbele vya watu wanaoishi na VVU kwenye sera, sheria na maamuzi ya bajeti ya taifa.

Treatment literacyElimu ya matibabu

Helping members understand ART, viral load and adherence - and stay in care for life.

Kuwasaidia wanachama kuelewa ARV, kipimo cha wingi wa virusi na kufuata dawa - na kuendelea na huduma maisha yote.

Stigma reductionKupunguza unyanyapaa

Community dialogue, media work and the PLHIV Stigma Index - measuring stigma so it can be tackled.

Majadiliano ya kijamii, kazi na vyombo vya habari na Kipimo cha Unyanyapaa - kupima ili kupambana nao.

Economic empowermentUwezeshaji kiuchumi

Savings groups, skills training and start-up support so that a diagnosis is not a sentence to poverty.

Vikundi vya akiba, mafunzo ya ujuzi na msaada wa mitaji ili maambukizi yasiwe hukumu ya umaskini.

Young peopleVijana

Adolescents and young people living with HIV, supported by peers their own age.

Vijana balehe na vijana wanaoishi na VVU, wakisaidiwa na wenzao wa rika lao.

Community systemsMifumo ya jamii

Strengthening regional and district networks so services are monitored by the people who use them.

Kuimarisha mitandao ya mikoa na wilaya ili huduma zifuatiliwe na wale wanaozitumia.

Membership makes the voice louder Uanachama huifanya sauti yetu isikike zaidi

Registration is TZS 18,000 - TZS 15,000 to join plus TZS 3,000 for your first month. It gives you an official membership card, access to your regional network, and a say in how NACOPHA is run. Pay by M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money or HaloPesa straight from your phone.

Usajili ni TZS 18,000 - TZS 15,000 kujiunga pamoja na TZS 3,000 ya mwezi wako wa kwanza. Unapata kadi rasmi ya uanachama, ushiriki katika mtandao wa mkoa wako, na sauti katika uendeshaji wa NACOPHA. Lipa kwa M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money au HaloPesa moja kwa moja kutoka simu yako.

Find your networkTafuta mtandao wako

Regional and district networks in all 31 regions, with ward groups beneath them. See which one covers where you live.

Mitandao ya mikoa na wilaya katika mikoa yote 31, yenye vikundi vya kata chini yake. Angalia unaohudumia unapoishi.

Browse the networksPitia mitandao

Get involvedShiriki nasi

Volunteer with a regional network, partner with us, or support the work financially - there is more than one way in.

Jitolee kwenye mtandao wa mkoa, shirikiana nasi, au unga mkono kazi hii kifedha - kuna njia zaidi ya moja.

See how to helpAngalia jinsi ya kusaidia