An official cardKadi rasmi
A printed NACOPHA membership card, plus a digital copy in the mobile app.
Kadi ya uanachama ya NACOPHA iliyochapishwa, pamoja na nakala ya kidijitali kwenye programu ya simu.
Membership is open to any person living with HIV in Tanzania. Your details stay confidential - always.
Uanachama uko wazi kwa mtu yeyote anayeishi na VVU nchini Tanzania. Taarifa zako hubaki siri - wakati wote.
A printed NACOPHA membership card, plus a digital copy in the mobile app.
Kadi ya uanachama ya NACOPHA iliyochapishwa, pamoja na nakala ya kidijitali kwenye programu ya simu.
Connection to the support group and regional network where you live.
Kuunganishwa na kikundi cha kusaidiana na mtandao wa mkoa unapoishi.
Members elect the leadership and set the agenda at the general assembly.
Wanachama huchagua uongozi na kupanga ajenda kwenye mkutano mkuu.
First call on skills training, savings groups and empowerment programmes.
Kupewa kipaumbele kwenye mafunzo ya ujuzi, vikundi vya akiba na programu za uwezeshaji.
Report discrimination at a clinic or workplace and the network follows it up.
Ripoti ubaguzi kliniki au kazini, na mtandao utaufuatilia.
Health details are optional and never shown to anyone outside NACOPHA.
Taarifa za afya si lazima, na haziwahi kuonyeshwa kwa mtu nje ya NACOPHA.
One payment covers your registration and your first month of membership. After that it is TZS 3,000 a month, renewed from the member portal or the mobile app.
Malipo moja hulipia usajili wako na mwezi wako wa kwanza wa uanachama. Baadaye ni TZS 3,000 kwa mwezi, unaohuishwa kupitia akaunti ya mwanachama au programu ya simu.
Choose your network during registration and confirm the USSD prompt that arrives on your phone.
Chagua mtandao wako wakati wa usajili kisha thibitisha ujumbe wa USSD utakaofika kwenye simu yako.
You can also pay from a different phone number than the one you registered with. Unaweza pia kulipa kwa namba tofauti na ile uliyojisajili nayo.
That is all it takes to open an account. Nothing about your health is asked yet.
Hiyo tu inatosha kufungua akaunti. Bado hakuna swali kuhusu afya yako.
Confirm the USSD prompt on your phone, or choose to pay later at an office.
Thibitisha ujumbe wa USSD kwenye simu yako, au chagua kulipa baadaye ofisini.
Add your region, ward and - only if you want to - your health details.
Ongeza mkoa, kata na - kama ukipenda tu - taarifa zako za afya.
Once approved, your digital card is ready and the printed card follows.
Baada ya kuidhinishwa, kadi ya kidijitali huwa tayari na ile iliyochapishwa hufuata.
The mobile app carries your membership card, your payment history and your renewal reminders - and works on a modest Android phone.
Programu ya simu hubeba kadi yako ya uanachama, historia ya malipo na vikumbusho vya kuhuisha - na hufanya kazi hata kwenye simu ya kawaida ya Android.
Coming soonInakuja hivi karibuni
No. Health information is optional when you register, it is visible only to authorised NACOPHA staff, and it is never printed on your card or shared with anyone else.
Hapana. Taarifa za afya si lazima wakati wa kujisajili, huonekana tu kwa watumishi wa NACOPHA walioidhinishwa, na haziandikwi kwenye kadi yako wala kushirikishwa kwa mtu mwingine.
No. The NIDA number is optional. Your name and phone number are enough to start.
Hapana. Namba ya NIDA si lazima. Jina lako na namba ya simu vinatosha kuanza.
Choose "pay later" during registration. Your application is saved and you can complete the payment from the member portal, or at a regional office, when you are ready.
Chagua "lipa baadaye" wakati wa usajili. Maombi yako huhifadhiwa na unaweza kukamilisha malipo kupitia akaunti yako, au ofisi ya mkoa, utakapokuwa tayari.
Sign in to the member portal or the app, tap "Renew", pick your mobile money network and confirm the prompt. You will be reminded before your card expires.
Ingia kwenye akaunti yako au programu ya simu, bonyeza "Huisha", chagua mtandao wako wa fedha za simu na uthibitishe. Utakumbushwa kabla kadi yako haijaisha muda.
Yes. You can delete your account from the app, or follow the instructions on our data deletion page.
Ndiyo. Unaweza kufuta akaunti yako kupitia programu ya simu, au kufuata maelekezo kwenye ukurasa wa kufuta taarifa.