Maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Saratani Duniani – Dar es Salaam

Dar es salaam, Tanzania Leo tarehe 4 Februari 2024, katika viwanja vya Mbagala Zakhiem, yalifanyika maadhimisho ya kilele cha Siku ya Saratani Duniani yakiongozwa na Mgeni rasmi, Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Dkt. Rashid Mfaume. Washiriki na Wadau Maadhimisho haya yaliratibiwa na kushirikisha wadau mbalimbali wa afya wakiwemo: Yote haya yalifanyika chini […]